BREAKING NEWS..........MAKONGORO MAHANGA ASHINDA KESI YA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA SEGEREA!!
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam, leo imetoa hukumu katika kesi iliyokuwa inamkabili mbunge wa jimbo la Segerea Dk. Makongoro Mahanga ya kupinga matokeo ya ubunge katika jimbo hilo.
No comments:
Post a Comment