Rais wa Urussi aliyechaguliwa hivi karibuni Vladimir Putin ameapishwa leo katika sherehe zilizofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo Moscow.
Putin anarejea katika urais baada ya miaka minne ambayo alikuwa waziri mkuu wa nchi hiyo chini ya rais Dmitry Medvedev,ambaye inasemekana ni mshirika wa karibu wa Putin.
Putin ameshinda urais kwa muhula wa tatu katika uchaguzi ambao uligubikwa na utata uchaguzi uliofanyika mwezi8 March mwaka huu,jana maelfu ya waandamanaji walipambana na polisi wakipinga kuapishwa kwa Putin.
No comments:
Post a Comment