![]() |
| Leo tarehe 08 May ni siku ya kuzaliwa ya Issack Lukando wa Ea breakfast Show ya East Africa Radio ambaye anaadhimisha miaka kadhaa. |
![]() |
| Hizi ni baadhi tu ya zawadi kati ya nyingi alizozikuta ilifana sana kwakweli . |
![]() |
| Akiwa bado anashangaa shangaa akapokewa na maua mazuri ya Rose. |
![]() |
| Isack Alifurahi sanaa hakutegemea kama unavyoona wapambe pembeni hapo wakisubiri keki ikatwe kwa mbali namuona Dula Mjukuu akijaribu kuchukua matukio si unajua ndio kazi yetu.. |
![]() |
| Pembeni kushoto ni Ian Dialo Co Host wa Issack Lukando kwenye Ea Breakfast hakutaka kupitwa na kwakweli alifanya kazi nzuri sana kuandaa kila kitu. |
![]() |
| Wafanyakazi wa EATV na Radio wakimuimbia Birthday Boy hapo ilibidi kazi ziwekwe pending kwa muda. |
![]() |
| Ubunifu ubunifu!! Cake imetengenezwa kama Mixer ya studio kitendea kazi cha birthday boy |
![]() |
| Ongeza kichwa |














No comments:
Post a Comment