Kampteni wa zamani wa Timu Uingereza David Beckham anatarajiwa kustaafu mchezo wa soka mwishoni mwa msimu huu.
Beckham mwenye umri wa miaka 38 alisaini mkataba wa miezi mitano huko Paris St-Germain mwezi Jmanuary na kuchangia mshahara wake wote kwenye shughuli za hisani.
Beckham amewahi kucheza mechi 115 kwa timu yake ya Uingereza na 394 kwa Manchester United na kushinda mataji sita ya Premier League pamoja na Champions League.
No comments:
Post a Comment