HOME

May 20, 2013

JIDE, PROFESA JAY NDANI YA BUNGE!!

Wakali wa tasnia ya muziki Bongo Lady Jay Dee na Proffesa Jay leo wamejikita ndani ya bunge la Tanzania kufuatilia shughuli zinazoendelea wakati wizara ya habari, vijana utamaduni na michezo itakapowasilisha bajeti yake hii leo.

Jide na Profesa wameambana na wakali wengine kama Rama Dee na mkoloni na wengine kama wanavyoonekana katika picha iliyowekwa mtandaoni na Joseph Haule @Profesa_Jay

No comments:

Post a Comment