HOME

May 21, 2013

PICHA ZA LISTENING PARTY YA ALBUM YA NOTHING BUT THE TRUTH YA LADY JAY DEE!!

Hii ni kuelekea tarehe 31 May ambayo mwanamuziki Lady Jay Dee ataizundua rasmi album hii ya ''Nothing But the Truth'' pale pale Nyumbani Lounge ilipofanyika Listening Party lakini kwenye eneo la Parking. Tiketi tayari zimeanza kuuzwa katika vituo vilivyotangazwa hivyo jipatie tiketi yako mapemaa!! Hizi ni baadhi ya picha za Listening Party japo kwa uchache.  
 Picha zote kwa hisani ya LadyJayDee Blog. Zaidi tembelea Hapa!

No comments:

Post a Comment