HOME

May 17, 2013

BEAUTIFUL IRENE BIRTHDAY DINNER @ KEBBY'S HOTEL!!

Irene Japhet Moshi ni mfanyakazi wa EATV upande wa Tv ambapo amekuwa akifanya kazi nyingi mojawapo ya kuvutia ni make up artist mzuri sana wa kutegemewa, Kama unapata nafasi ya kutazama show mbalimbali za EATV ikiwemo Hotmix, Ujenzi, 5 Connect na nyingine na kuona prese nters wakiwa wamependeza sana usoni hiyo ni kazi nzuri ya Irene. Jumatano iliyopita alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo alijumuika pamoja na marafiki zake kwenye chakula cha jioni kilichoandaliwa na mpenzi wake hafla fupi iliyofanyika kwenye hoteli ya Kebby's jijini Dar es salaam.
Team yote ya ilikuwa pale kumsupport Irene kwakuwa tunampenda na kumjali kwasbabu anatupenda zaidi. Happy Birthday my Dear Mungu akupe umri mrefu zaidi..

No comments:

Post a Comment