HOME

May 15, 2013

PICHA ZA MCHEZO WA HEINEKEN FOOSBALL NDANI YA EATV!!

Watu walifika mapema kujifunza Foosball iliyoletwa kwa mara ya kwanza nchini Tanzania na Heineken.
Me na Tony Tbway tuliwakilisha Team 360 na 3D.
Watu wakifurahia Foosball ambapo kulikuwa na kinywaji rasmi Heineken bure kabisaa
Heineken Country Manager Uche akisema machache huku wafanyakazi wa EATV wakisikiza kwa makini.
Team Masai vs Mkongo iliwakilishwa na Mr Enews Dominic Nyalifa na Noah Laltaika hapo wakishindana na Team Old Skull hawapo pichani.
Baada ya kushinda raundi ya kwanza mambo yalikuwa hivii
Kutoka kushoto Mamy kutoka East Africa Radio, Salama J ''Mkasi Tv'' na Ndimbuni Msongole wa EATV 

No comments:

Post a Comment