| Wachezaji 16 wakipiga picha ya pamoja katika michuano ya foosball jijini Dar es Salaam |
| Caroline Kakwezi akiwazawadia timu Liverpool ( Tigo Tanzania) wakiwa wameingia kwenye finali ya michezo ya foosball |
| Caroline Kakwezi , Meneja masoko wa Heineken Tanzania akiwazawadia timu Champion wa Samaki Samaki mjini wakiwa wameingia kwenye finali ya mchezo wa foosball. |
![]() |
| Mmoja wa mashabiki wa timu Liverpool ( Tigo Tanzania) akimkumbatia Godfrey Musihula baada yakushinda kuingia kwenye finali ya michuano hii ya foosball |
![]() |
| Timu ya EATV ambayo ilifanikiwa kuingia nusu fainali. |


No comments:
Post a Comment