Game ndio hii inaitwa Foosbaal imeletwa na Heineken hapa EATV |
CPWAA ndio amesimamia shoo nzima hapa akiwa kama mzungumzaji mkuu wa mchezo huu huku watu wakiburudika na Heineken zao |
Allani mzee wa Skonga akiburudika na Heineken beer imenoga usipime |
Heineken Country manager Uche akizungumza machache kufungua shughuli nzima |
Watu wakicheza Foosball me mwenyewe nimecheza ni mchezo mzuri sanaa tume enjoy sanaa nimewakilisha Team3D |
Thank You Heineken Picha nyingini keshooo |
No comments:
Post a Comment