HOME

May 23, 2013

CHAT LIVE LEO NA MKALI WA MASAUTI BENPOL!!

Ile siku ya kuchat na mkali wa Masauti hapa Bongo, kijana mwenye tuzo kadhaa ni leo kuanzia saa 6 kamili mchana katika huu ukurasa wa Facebook wa East Africa Television (EATV), Kuwa huru kumuuliza chochote upendacho, kumshauri na kumwambia neno lolote unalopenda kumwambia.

'KIKAANGONI LIVE' ni maalum kwaajili yako wewe, kumbuka wewe ndio unakuwa mtangazaji kwa kumuuliza chochote hapa hapa katika ukurasa huu wa facebook naye atakujibu.

Kumbuka unaingia katika ukurasa wa facebook wa East Africa Television (EATV) na sio kwenye Tv.

No comments:

Post a Comment