Watumishi wa umma nchini Tanzania wametakiwa kuacha vitendo vya rushwa na kufanya kazi kwa mazoea ili kuiwezesha nchi kufikia malengo ya maendeleo ya muda mrefu.
![]() |
Waziri wa nchi ofisi ya rais Utumishi Celina Kombani akifungua mafunzo kwa maofisa waandamizi wa umma kuhusu namna wanavyoweza kutekeleza majukumu yao leo jijini Dar es salaam. |
![]() |
Waziri wa nchi ofisi ya rais Utumishi Celina Kombani akifungua mafunzo kwa maofisa waandamizi wa umma kuhusu namna wanavyoweza kutekeleza majukumu yao. |
![]() |
Baadhi ya maofisa waandamizi wa umma waliokuwa katika mafunzo hayo kuhusu namna wanavyoweza kutekeleza majukumu yao. |
![]() |
Waziri wa nchi ofisi ya rais Utumishi Celina Kombani akiwa katika mafunzo hayo aliyofungua leo Jijini Dar es salaam nchini Tanzania. |
![]() |
No comments:
Post a Comment