Viongozi hao wamerudisha ripoti na kuwataka mawaziri wao kutatua masuala kadhaa yaliyobaki ambapo Hata hivyo viongozi hao kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Uganda Burundi na Rwanda wamesisitiza juu ya umuhimu wa kuimarisha mazingira ya biashara huru na uwekezaji katika Jjumuia yao.
Katika mkutano huo, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya alipata nafasi ya kutoa hotuba yake ya kwanza tangu achaguliwe kuwa rais mpya wa Kenya ambapo kati ya mengi aliyozungumza ametoa wito wa kuharakisha kutataua vikwazo vinavyodhoofisha mchakato mzima wa kuunda Jumuiya ya Afrika Mashariki.
No comments:
Post a Comment