
Maafisa wa serikali na jeshi wamesema kuwa wapiganaji walitumia silaha kali na roketi yenye mabomu mazito kupambana na vikosi vya jeshi karibu na mpaka wa nchi hiyo na Chad.

Nigeria inakabiliwa na hali ya hatari katika jimbo la kaskazini mwa nchi
hiyo ambapo hali kama hiyo iliyoletwa na kundi la wanamgambo wa Boko
Haram na kusababisha vifo vya maelfu ya watu mwaka 2009.
No comments:
Post a Comment