
Rais wa Malawi Bi. Joyce Banda amelalamikia tabia ya
wanawake kutoungana mkono tatizo ambalo amesema lipo dunia nzima.

Banda ambaye ni rais wa pili mwanamke barani Afrika baada ya Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia, aliingia madarakani Aprili mwaka jana kufuatia kifo cha Rais Bingu wa Mutharika.

No comments:
Post a Comment