BEN POL AINGIA KIKAANGONI...AKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE KUPITIA FACEBOOK PAGE YA EATV!!
....Akipatiwa maelezo kwa ufupi kutoka Barnaba kutoka kitengo cha New Media EATV
Akichat Livee na Fans wake
EATV kupitia Facebook Page yake leo imempa nafasi Mwanamuziki mkali wa masauti nchini Tanzania Benpol kuchat Live na mashabiki wake. Hapo amepata nafasi ya kujibu maswali ya kila aina kutoka kwa mashabiki alikuwa kikaangoni.
Ben pia alipata nafasi ya photoshoot na warembo wa EATV
hellow there ben..
ReplyDeleteuko poa!?
c tunakupenda ingawa tupo kwenye janga la mabom huku mtwara yu r rockin men'...
kip t up!!