Wachezaji 16 wakipiga picha ya pamoja katika michuano ya foosball jijini Dar es Salaam |
Caroline Kakwezi akiwazawadia timu Liverpool ( Tigo Tanzania) wakiwa wameingia kwenye finali ya michezo ya foosball |
Caroline Kakwezi , Meneja masoko wa Heineken Tanzania akiwazawadia timu Champion wa Samaki Samaki mjini wakiwa wameingia kwenye finali ya mchezo wa foosball. |
![]() |
Mmoja wa mashabiki wa timu Liverpool ( Tigo Tanzania) akimkumbatia Godfrey Musihula baada yakushinda kuingia kwenye finali ya michuano hii ya foosball |
![]() |
Timu ya EATV ambayo ilifanikiwa kuingia nusu fainali. |
No comments:
Post a Comment