![]() |
Leo tarehe 08 May ni siku ya kuzaliwa ya Issack Lukando wa Ea breakfast Show ya East Africa Radio ambaye anaadhimisha miaka kadhaa. |
![]() |
Hizi ni baadhi tu ya zawadi kati ya nyingi alizozikuta ilifana sana kwakweli . |
![]() |
Akiwa bado anashangaa shangaa akapokewa na maua mazuri ya Rose. |
![]() |
Isack Alifurahi sanaa hakutegemea kama unavyoona wapambe pembeni hapo wakisubiri keki ikatwe kwa mbali namuona Dula Mjukuu akijaribu kuchukua matukio si unajua ndio kazi yetu.. |
![]() |
Pembeni kushoto ni Ian Dialo Co Host wa Issack Lukando kwenye Ea Breakfast hakutaka kupitwa na kwakweli alifanya kazi nzuri sana kuandaa kila kitu. |
![]() |
Wafanyakazi wa EATV na Radio wakimuimbia Birthday Boy hapo ilibidi kazi ziwekwe pending kwa muda. |
![]() |
Ubunifu ubunifu!! Cake imetengenezwa kama Mixer ya studio kitendea kazi cha birthday boy |
![]() |
Ongeza kichwa |
No comments:
Post a Comment