
Akitangaza kikosi hicho leo jijini Dar es salaam, Paulsen amewatema wachezaji Issa,Cholo na Nditi huku akiwaita wachezaji wanne ambao hawakuwepo katika kikosi cha awali
Poulsen amesema kabla ya Taifa Stars kucheza na Morocco itacheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Sudan mchezo utakaopigwa june 2 mwaka huu jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.
No comments:
Post a Comment