
Pambalo la watani wa jadi kati ya Simba na Yanga la Ligi Kuu ya Tanzania bara lililochezwa hapo jana kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es salaam mabingwa wapya Yanga kushinda bao 2-0 limeingiza sh. 500,390,000.
Mechi hiyo namba 180 ambayo ilikuwa kati ya saba la kuhitimisha ligi hiyo msimu wa 2012/2013 ilishuhudiwa na watazamaji 57,406 waliokata tiketi kwa viingilio
Wakati huo huo mashabiki wa Simba wakielezea masikitiko yao baada ya kufungwa na mabingwa wapya waliotwaa taji la 24 msimu huu.
Mashabiki wa Yanga,wao wanasema huo ni mwanzo wa kuwakata ngembe watani wao wa jadi na kuwa mwanzo mpya wa kuwa wafalme wa soka nchini na ukanda wa Afrika Mashariki
No comments:
Post a Comment