Ajali hiyo iliyotokea jana imehusisha gari aina ya FUSO lililokuwa limebeba mkaa kutokea Moro, na SCANIA semi trailer ambalo lilikuwa linatokea Dar. Inasemekana kuwa chanzo cha ajali ni foleni kubwa inakadiriwa kiasi cha magari 3000 kukwama katika foleni hiyo inayokadiriwa kuchukua umbali wa kilometa 5.
No comments:
Post a Comment