Skype has announced plans to create about 400 new jobs across five cities.
The internet video-calling business - which is owned by Microsoft - said it is initially looking to take on staff in London and Stockholm.
Other posts will later be created in Tallinn, Estonia; Prague, Czech Republic and Palo Alto in California, USA.
The news coincides with an expected announcement of 2,000 job cuts at Yahoo.
Apr 4, 2012
SITA WAFA KATIKA MAPOROMOKO KENYA!!
Watu wanne wamekufa mapema leo katika makazi duni ya Mathare jijini Nairobi nchini Kenya baada ya kuangukiwa na kifusi kufuatia maporomoko ya ardhi.
Ajali hiyo mbaya imetokea mapema alfajiri baada ya jiwe kubwa kuporomoka kutoka kilimani huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha na kuangukia katika makazi hayo.
Kamishna mkuu wa Polisi Mathew Iteere amethibitisha vifo vya watu hao akiwa katika eneo la tukio ambapo watu wanane wamekimbizwa Hospitali ya taifa ya Kenyata kwa matibabu.

Apr 3, 2012
COLOUR KWA FACE SUNSCREEN CAMPAIGN AT THIKA SCHOOL OF THE BLIND!!
We still have lots of work to do! To Support the Cause buy a Sunscreen lotion and inbox Nonini or even write on his website and he will come collect from you...If u are outside the country u can ship them to our offices @ this Address
COLOR KWA FACE CAMPAIGN
P.O. BOX 29791-00100
NAIROBI, KENYA EAST AFRICA
COLOR KWA FACE CAMPAIGN
P.O. BOX 29791-00100
NAIROBI, KENYA EAST AFRICA
Apr 2, 2012
CHADEMA YAIBUKA KIDEDEA UBUNGE ARUMERU MASHARIKI!!
![]() |
| Bw. Joshua Nassari wa tatu kutoka kushoto akipongezwa na katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA baada ya kutangazwa mshindi wa Ubunge Arumeru Mashariki. |
Subscribe to:
Posts (Atom)