![]() |
Prof George Saitoti enzi za uhai wake |
![]() |
Ajali ya helikopta iliyochukua maisha ya wakenya sita akiwemo waziri wa usalama wa ndani wa Kenya Prof. George Saitoti na naibu wake Orwa Ojode jana asubuhi. |



Wakati huo huo rais Mwai Kibaki wa Kenya leo asubuhi ameongoza kikao cha baraza la mawaziri kujadili vifo hivyo.
Sababu ya ajali hiyo haijafahamika ingawa mashuhuda wamekuwa wakielezea jinsi walivyoiona helikopta hiyo ikitoa moshi na kupotea uelekeo.
No comments:
Post a Comment