![]() |
Jermaine Dupri |
Jermaine Dupri amefanikiwa kumaliza deni la kulipa kodi lilokuwa linamkabili na kumgharinu kwa kulazimika kulipa MARA MBILI ya kiasi alichotakiwa kulipa awali iwapo angewahi kulipa mapema.
Kwa mujibu wa nyaraka zilizotolewa hivi karibuni huko Georgia Dupri alikuwa anadaiwa dola $493,818.75 alizoshinwa kulipa mwaka 2007.
No comments:
Post a Comment