![]() |
Mkuu wa utumishi wa umma Francis Muthaura |
![]() |
Mbunge wa Eldoret Kaskazini William Ruto |
![]() |
Naibu waziri mkuu Uhuru Kenyatta |
![]() |
Mtangazaji wa kituo cha radio Joshua arap Sang |
Watuhumiwa hao wana kesi ya kujibu katika mahakama ya kimataifa ya makosa ya uhalifu (ICC) kuhusiana na vurugu zilizoibuka mara baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2007/2008.
No comments:
Post a Comment