Siku ya Jana tarehe 25 April ilikuwa siku ya kuzaliwa ya rafiki na Dj Mahiri kutoka East Africa Radio wengi tunamfahamu kwa jina la Dj AD au Mafuvu Beeiby au The TurntableList kama anavyopenda kujiita.Hapo akiwa na keki yake muda mfupi baada ya kuletwa,Mungu akuzidishie kaka maisha marefu na heri katika kazi zako. |
No comments:
Post a Comment