![]() |
Nyumba ya spika iliyokabidhiwa inavyoonekana kwa upande wa nyuma. |
![]() |
Bw. Siegfried Kuwite akitia saini makabidhiano hayo kwa niaba ya Katibu wa Bunge ambaye ndiye Mshitiri (client) wa jengo. |
![]() |
Bw. Mwatawala akimkabidhi Msanifu Majengo M. F. M Msangi (kulia) anyewakilisha Wakala wa Majengo ya Serikali. Wakala wa Majengo Tanzania ndiye Meneja wa Mradi huu. |
Nyumba ya spika inavyoonekana kwa upande wa mbele .(Picha na Prosper Minja – Bunge). |
No comments:
Post a Comment