![]() |
Manchester United |
![]() |
Wyne Rooney |
Klabu ya Manchester United na Wyne Rooney wamelazimika kutoa taarifa ya pamoja kukanusha taarifa zilizochapishwa katika magazeti mbalimbali kwamba mshambuliaji huyo wa timu ya taifa ya England atauzwa katika kipindi hiki cha usajili cha mwezi Januari kufuatia kugombana na kocha Fergie.
No comments:
Post a Comment