HOME

Jan 9, 2012

MAANDAMANO MAKUBWA NIGERIA!!

waandamanaji mitaani

Kituo cha mafuta kilichofungwa
Maandamano makubwa yanafanyika nchini Nigeria kufuatia kutolewa ruzuku kwenye mafuta umesababisha shughuli kusimama ambapo maduka,ofisi,shule pamoja na vituo vya mafuta vimefungwa katika siku hii ya kwanza ya mgomo.


Maelfu ya waandamanaji jijini Lagos pamoja na miji mingine mikubwa kupinga kuondolewa kwa ruzuku hiyo ambayo imesababisha kuoanda maradufu kwa bei ya mafuta


Vurugu zimeendelea katika ya polisi na waandamanaji ambapo mmoja wa waandamaji ameuwawa Kaskazini mwa mji wa Kano ambako takribani watu 20 wamejeruhiwa.

No comments:

Post a Comment