![]() |
Washiriki mbalimbali waliohudhuria shughuli ya women in balance kitchen party Gala iliyofanyika siku ya Jumamosi katika ukumbi uliopo Mikocheni. |
![]() |
Waandaaji wa shughuli hiyo Dina Marios na Vida Mndolwa |
![]() |
Moja kati ya bloggers maarufu wa Tanzania Shamim Mwasha mmiliki wa 8020's fashions akielezea machache kuhusu siku ya wanawake duniani itakayofanyika march 3 mwaka huu katika ukumbi wa Serena Hotel |
![]() |
Mburudishaji wa siku hiyo Nyota waziri |
![]() |
Mmoja wa wasemaji mama Victor |
![]() |
Mc wa shughuli Dina Marios |
![]() | ||
Wasemaji mama Victor na Bi Chau | ZAIDI INGIA HUMU |
No comments:
Post a Comment